Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

MAKONDA AMKABIDHI JUMA KASEJA MILIONI ZAKE 10 KAMA ALIVYOAHIDI

Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo amemkabidhi Golikipa wa Taifa S...


Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo amemkabidhi Golikipa wa Taifa Stars Juma kaseja ahadi aliyotoa jana ya kumpa kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa kuwa nyota wake wa mchezo wa jana dhidi ya Burundi.

No comments