Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

MECHI YA SIMBA NA MTIBWA YAPANGULIWA, RATIBA MPYA YATAJWA

Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijum...


Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13, 2019 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

No comments