Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Barca yamweka kiporo Pogba

Barcelona wameripotiwa kwamba wamemweka kiporo kiungo wa Manchester United, Paul Pogba na kwamba watamfungia kazi ya kumsajili kwenye ...

SIMBA KUKUTANA NA PILATO WAKE LEO

Shirikisho la Soka nchini (TFF) eo linakutana na uongozi wa klabu ya Simba kunako makao makuu yaliyopo mitaa ya Karume, Ilala, Dar es Sala...

TRUMP AKUTANA NA RAIS FIFA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA), Gianni Infantino, leo amekutana na Rais wa Marekeni Donald Trump na kupata wasaa wa k...

NEYMAR AENDA TENA BARCELONA

Mshambuliaji wa PSG, Neymar juzi alitua kwenye timu yake ya zamani ya Barcelona na kukutana na wachezaji wenzake wa zamani. Neymar alitua ...

PICHA: YANGA WATUA KIBABE RWANDA

Kikosi cha Yanga kimewasili salama huko Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports kesho Jumatano. ...

WAWILI SIMBA KUIKOSA MBEYA CITY

Wakati kikosi cha Simba kikiwa katika maandalizi kabambe ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Jumatatu ...

YANGA KUANIKA JEZI MPYA HADHARANI

Uongozi wa Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Dismas Ten, umeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kwa kuchelewa kutangaza jezi kw...

MOURINHO AFUNGUKA

Jose Mourinho amewaambia rafiki zake kwamba angeweza kujiuzulu kutoka klabu nyingine yoyote kufikia sasa ila si Manchester United. Kocha h...

KRC GENK NI NJIA SAHIHI KWA SAMATTA

KRC Genk sasa ni moja ya timu maarufu sana hasa nchini Tanzania na hii ni kutokana na Mbwana Samatta. Samatta anakipiga Genk ya Ubelgi...

SAMATA AONDOKA NA MPIRA UWANJANI

Mshambuliaji hatari wa KRC Genk, Mbwana Ally Samatta amefunga mabao matatu wakati timu yake ikiitwanga Brondby IF kwa mabao 5-2. Me...