Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

ARSENAL YAANZA KUONESHA MAKUCHA

Kikosi cha timu ya Arsenal kimeanza ubabe katika Ligi Kuu England kwa kuitandika Cardiff City mabao 3-2. Mabao ya Arsenal yamewekwa kimia...



Kikosi cha timu ya Arsenal kimeanza ubabe katika Ligi Kuu England kwa kuitandika Cardiff City mabao 3-2.

Mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Mustafi, Aubameyang na Lacazette.

Mabao ya Cardiff yamewekwa kimiani na Camarassa na Ward. 

Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kushika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi.

No comments