Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

"HARRY KANE NAMBA TISA BORA KWA SASA HANA MPINZANI"

kuelekea mchezo wa michuano  ya ligi ya mataifa ya ulaya UEFA NATION LEAGUE  kati ya  England ikipambana na Spain ambapo kocha mkuu wa...


Southgate has formed a close relationship with his captain. AFP



kuelekea mchezo wa michuano  ya ligi ya mataifa ya ulaya UEFA NATION LEAGUE  kati ya England ikipambana na Spain ambapo kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya England amesema kuwa moja kati washambuliaji bora wa kati Harry Kane ni hatari zaidi yupo katika kiwango cha dunia 
akifafanua kwamba mfano kwamba waangalie Messi na Ronaldo ndipo utaona pia muonekano wa Harry Kane kama Namba tisa bora kwa dunia baada ya kushinda mfungaji bora katika michuano ya Fifa world cup 2018 Russia na kushinda kiatu cha dhahabu ama unaweza kusema Golden Boot 

No comments