Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Will Smith asherekea Birthday kwa mchezo HATARI

Muigizaji wa Filamu Marekani, Will Smith amesherekea siku yake ya kuzaliwa kwa mtindo wa aina yake zaidi kuwahi kutokea. Will Smith am...

Video: Will Smith asherekea Birthday kwa mchezo HATARI

Muigizaji wa Filamu Marekani, Will Smith amesherekea siku yake ya kuzaliwa kwa mtindo wa aina yake zaidi kuwahi kutokea.

Will Smith ambaye ametimiza umri wa miaka 50 amesherekea siku hiyo muhimu kwake kwa kujirusha kwenye Makorongo hatari yanayopatikana huko Arizona. Tazama video chini

No comments