Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

RONALDO AWAZIDI NEYMAR, MESSI KATIKA MKWANJA WA INSTAGRAM 2018

Mwanasoka wa klabu ya Juventus Ronaldo, amewazidi mastaa wa soka wenzake Neymar na Mess katika mkwanja anaoweza kupata katika mtandao wa I...



Mwanasoka wa klabu ya Juventus Ronaldo, amewazidi mastaa wa soka wenzake Neymar na Mess katika mkwanja anaoweza kupata katika mtandao wa Instagram kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye akaunti yake, wafuasi wapatao milioni 133.

Kwa mujibu wa Instagram Sport Rich List ya 2018, kwa kila posti ya Ronaldo ikitumiwa na kampuni yoyote kwa promosheni inaweza kumwingizia Dola 750,000.

Mpangilio wa watatu hao ni kama ifuatavyo:

Ronaldo anaweza kutia kibindoni Dola 750,000 kwa kila posti.

Neymar anaweza kuingiza Dola 600,000.

Messi ataingiza Dola 500,000.

No comments