Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Wizkid kuja na ngoma/video mpya kutoka kwenye mikono ya P Diddy?

Kuna kila dalili kuwa msanii muziki kutokea nchini Nigeria, Wizkid aibuka na wimbo au video akiwa na Diddy kutokea Marekani. Hii ni kuto...



Kuna kila dalili kuwa msanii muziki kutokea nchini Nigeria, Wizkid aibuka na wimbo au video akiwa na Diddy kutokea Marekani.

Hii ni kutokana na mfululizo wa tweets zake katika mtandao wa twitter akielezea kuna kitu kizuri kinakuja. Wizkid amesema amekuwa anatengeneza kazi kwa muda mrefu ambayo wakati wake wa kuachiwa umefika. 

We been working on something crazy for months! Its time! 🐍🐍

New Deal Alert! Officially with CIROC!!! Lets get it!! Big bag alert! 🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹🦅🦅🦅 #DrinkResponsibly!!

Kauli ya star huyo mwenye hit za kutosha Afrika inakuja siku chache mara baada ya kukutana na Sean John Combs a.k.a Diddy na kutangaza kuwa Album yake inayofuata itasimamiwa na Diddy akiwa kama Mtayarishaji Mkuu (Executive Producer).


RNGM blog

No comments