Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Programu tumishi kutoka kwa msanii wa Tanzania

Imezoeleka kuona programu tumishi zilizotengenezwa na watu kutoka Marekani na kutokea kupendwa na wengi mfano Snapchat, WhatsApp, n.k lakin...

Imezoeleka kuona programu tumishi zilizotengenezwa na watu kutoka Marekani na kutokea kupendwa na wengi mfano Snapchat, WhatsApp, n.k lakini watanzania nao wanauthubutu wa kuwekeza upande huo.

Katika hali ya kujiweeka karibu na mashabiki zake msaani maarufu wa filamu na msajisiriamali Wema Sepetu ana programu tumishi yake ambayo inazungumzia mambo kazi zake na mengineyo ya kumhusu.
Programu tumishi ya WSA inaweza kupakuliwa na watu wengi kutokana na mvuto wa msanii huyo kwa jamii hasa mabinti. WSA inapatikana katika simu zinazotumia Android tu kwa sasa.
msanii
Kwa hakika uamuzi wa msanii huyo kutoka TZ ni ishara tosha kuwa yeyote yule anaweza kumiliki app na kuitumia kujiongezea kipato.

Je, wewe ni shabiki wa Wema? Una mtazamo gani na yeye kuwa na app yake? 

Bofya>>WSA kuishusha kwenye simu yako (Android).

No comments