JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya AS Kigali utaka...
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya AS Kigali utakaochezwa Uwanja wa Taifa.
KMC inapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho itacheza mchezo wa marudio dhidi ya AS Kigali Agosti 23 baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Rwanda.
No comments