Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

TANZANIA YAANZA KWA KUCHECHEMEA MICHUANO YA CECAFA

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania Chini ya Miaka 15 leo kimeanza kwa kuchechemea mbele ya Uganda kwa kupoteza mchezo wa kwanza kwa ku...


KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania Chini ya Miaka 15 leo kimeanza kwa kuchechemea mbele ya Uganda kwa kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa mabao 2-0.

Tanzania ambayo inashiriki michuano ya CECAFA kwa timu za Vijana chini ya Miaka 15 imepangwa kundi B na leo imetupa kete yake ya kwanza.

Michuano hiyo inafanyika nchini Eritrea uwanja wa Asmara imeanza Agosti 16 na itakamilika Agosti 30.

No comments