UONGOZI wa Juventus umethibitisha kwamba kocha wao Maurizio Sarri anasumbuliwa na Nimonia na ripoti zimethibitisha kuwa mapafu yake yapo ...
UONGOZI wa Juventus umethibitisha kwamba kocha wao Maurizio Sarri anasumbuliwa na Nimonia na ripoti zimethibitisha kuwa mapafu yake yapo katika hali mbaya sana.
Sarri huenda akakosekana kwenye benchi la ufundi kwenye mechi dhidi Parma siku ya Jumamosi.
Sarri amejiunga na Juventus msimu huu akitokea klabu ya Juventus ambayo kwa sasa ipo chini ya Frank Lampard.
No comments