Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

DAVID LUIZ APIGIWA CHAPUO LA UNAHODHA ARSENAL

KOCHA wa Arsenal,Unai Emery ameshauriwa kumteua David Luiz kuwa nahodha mpya wa timu hiyo. Luiz alijiunga na Arsenal hivi karibuni akito...


KOCHA wa Arsenal,Unai Emery ameshauriwa kumteua David Luiz kuwa nahodha mpya wa timu hiyo.

Luiz alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitokea Chelsea Kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni nane.

Beki wa zamani wa Arsenal, Nigel Winterburn, amesema kuwa Luiz atafaa kuwa nahodha wa Arsenal katika msimu huu wa 2019/20.


 "Nadhani itakuwa uamuzi sahihi kwa Emery kumfanya Luiz kuwa nahodha kwa msimu huu ana sifa za kuwa kiongozi," amesema.

No comments