Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

HAO SIMBA WANA HASIRA KWELI NA UD SONGO

 PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana imani na kikosi chake kitapata ushindi mbele ya wapinzani wao UD do Songo kweny...



 PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana imani na kikosi chake kitapata ushindi mbele ya wapinzani wao UD do Songo kwenye mchezo wa marudio utakaochezwa Agosti 25 uwanja wa Taifa.

Simba ililazimisha suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa uliochezwa uwanja wa Beira, nchini Msumbiji.

 Aussems amesema ana imani kubwa na kikosi chake kupata ushindi kwenye mchezo wa marudio.

“Kikubwa ninachoshukuru ni kwamba hatujaruhusu bao tulipkuwa ugenini sasa kazi yetu imebaki kutafuta ushindi mbele ya wapinzani wetu.

“Ambacho kinanipa matumaini ni nguvu ya mashabiki wa Simba pamoja na uzuri wa uwanja wa nyumbani, hakuna namna nyingine tutakayofanya zaidi ya kutafuta matokeo.” Amesema Aussems.

No comments