Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

HIZI HAPA 10 KUFUNGULIA LEO VPL

LEO Vodacom Premier League inarejea mabapo timu kumi zitashuka uwanjani kuanza kutupa kete zao za kwanza msimu mpya wa mwaka 2019/20 Namun...


LEO Vodacom Premier League inarejea mabapo timu kumi zitashuka uwanjani kuanza kutupa kete zao za kwanza msimu mpya wa mwaka 2019/20

Namungo v Ndanda FC uwanja wa Majaliwa

Mbao v Alliance uwanja wa CCM Kirumba

Mbeya City v Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine

Polisi Tanzania v Coastal Union, Uwanja wa Ushirika

Biashara United v Kagera Sugar, Uwanja wa Karume, Musoma.

No comments