Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

YANGA : TUNAICHAPA ROLLERS KWAO

PATRICK Sibomana, mshambuliaji wa Yanga ambaye alifunga bao pekee la kusawazisha mbele ya Township Rollers uwanja wa Taifa, amesema kuw...


PATRICK Sibomana, mshambuliaji wa Yanga ambaye alifunga bao pekee la kusawazisha mbele ya Township Rollers uwanja wa Taifa, amesema kuwa wanapindua meza nchini Botswana.

Yanga kwa sasa ipo nchini Botswana kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo wao wa marudio utakaopigwa Agosti 24 nchini Botswana na mchezo wa kwanza walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 wana kazi ya kutafuta ushindi.

“Mpira una matokeo mengi hivyo kushindwa kupata ushindi nyumbani inaumiza lakini bado tuna nafasi ya kushinda kwao na hicho ndicho tunachohitaji kukifanya," amesema

No comments