Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA

SHAABAN Chilunda, mshambuliaji wa Azam FC amesema yupo tayari kwa mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya Fasil Kenema utakaochezwa Juma...


SHAABAN Chilunda, mshambuliaji wa Azam FC amesema yupo tayari kwa mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya Fasil Kenema utakaochezwa Jumamosi, uwanja wa Chamazi.

Chilunda amesema kuwa kazi yake kubwa ni kushirikiana na wachezaji wenzake kutafuta matokeo chanya uwanjani, hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi.

"Mashabiki ni muhimu kwetu tunawaomba waje watupe sapoti kwani tuna kazi kubwa ya kufanya,".


Tiketi za mchezo huo mzuri zinapatikana kwenye vituo vya Magomeni Ice Cream Center, Azam Shop Kariakoo, Mbagala Rangi Tatu na zitakazobakia zitauzwa uwanjani siku ya mechi.

Viingilio ni kuanzania Sh. 3,000 kwa majukwaa ya mzunguko, V.I.P A na B Sh. 10,000 na Sh. 5,000 V.I.P C.

No comments