Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

DUH! MATIZI YA AZAM FC NOMA

AZAM FC wamepania kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia utakaochezwa Jumamosi Uwanja wa Ch...


AZAM FC wamepania kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia utakaochezwa Jumamosi Uwanja wa Chamazi.

Azam FC wanaendelea na mazoezi kwenye viwanja vya Chamazi ikiwa ni mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho baada ya ule wa kwanza kupoteza ugenini kwa kufungwa bao 1-0.

Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragije amesema wapo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya na makosa yao wanayafanyia kazi.

No comments