Straika wa zamani wa timu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia. Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hiv...
Straika wa zamani wa timu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia.
Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hivi sasa ya nchini humo, ameisaidia timu hiyo kupata jumla ya mabao 10.
Straka huyo aliyekuwa hana bahati alipojiunga na Simba misimu kadhaa iliyopita, amekuwa mchezaji tegemeo kunako timu yake
No comments