Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

PICHA: YANGA WATUA KIBABE RWANDA

Kikosi cha Yanga kimewasili salama huko Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports kesho Jumatano. ...


Kikosi cha Yanga kimewasili salama huko Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports kesho Jumatano.


Yanga itashuka dimbani kusaka heshima pekee baada ya kutokana na kutokuwa na nafasi tena ya kusonga mbele kwenye kundi D.



Katika Kundi hilo Yanga mpaka sasa imekalia mkiani ikiwa na alama 4 pekee huku Gor Mahia wakiwa nafasi ya kwanza, USM Alger wakishika namba mbili na Rayon wakiwa nafasi ya tatu.

No comments