Msanii wa muziki Bongo kutokea WCB, Harmonize ameweka wazi kuwa wimbo unakuja kati yake na Professor Jay. Harmonize ameeleza ...
Msanii wa muziki Bongo kutokea WCB, Harmonize ameweka wazi kuwa wimbo unakuja kati yake na Professor Jay.
Harmonize ameeleza ilikuwa ni ndoto yake ya miaka mingi kufanya kazi na Professor Jay. Wakati tukisubiria kolabo hiyo itoke, kuna kuna mambo mawili ya kukumbuka.
Wimbo huo ulikuwa wenye mafanikio makubwa ambapo mwaka 2015 ulishinda tuzo kupitia Kilimanjaro Music Awards (KTMA) kama wimbo bora wa Hip Hop.
RNGM blog


No comments