Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

'MbapPelé' ndivyo utakavyoweza kusema kwa sasa

Kylian Mbappe amevunja rekodi nyingine wikiendi na kuweza kufananishwa na legend kutoka Brazil PELE katika umiri mdogo wa Miaka19. ...






Kylian Mbappe amevunja rekodi nyingine wikiendi na kuweza kufananishwa na legend kutoka Brazil PELE katika umiri mdogo wa Miaka19. Hii ni  baada ya kuwa Mchezaji mdogo zaidi chini ya miaka 20 kufunga magoli 30 katika ligi ya ufaransa maarufu kama Ligue 1

Tuangalie rekodi ambazo Kylian Mbappe ameziweka mpaka sasa

MCHEZAJI WA CHINI MIAKA KUFUNGA MAGOLI 30 KATIKA LEAGU ONE

Mbappe ametimiza magoli hayo ambapo 15 amefunga akiwa katika timu ya Monaco na 16 amefunga akiwa PSG nakutimiza jumla ya magoli 31




MCHEZAJI MDOGO ZAIDI KUTOKA FRENCH KUFUNGA KATIKA FAINALI KOMBE LA DUNIA

Baada ya kufunga katika fainali ya  kombe la dunia   dhidi ya croatia katika ushindi wa 4-2
kuchukua  tunzo ya mchezaji bora kijana katika mashindano hayo yaliyofanyika RUSSIA 2018




MCHEZAJI MDOGO ZAIDI KUWA KATIKA KUMI BORA YA BALOON D OR



























MFUNGAJI BORA MDOGO ZAIDI KATIKA KLABU YA MONACO



Hizo ni Baadhi Rekodi anazozishikilia KYLIAN MBAPE

No comments