Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limeweka wazi kuwa litakuwa na kikao cha pamoja kati ya WCB na Rich Mavoko. Akizungumza ofisini kwake...

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limeweka wazi kuwa litakuwa na kikao cha pamoja kati ya WCB na Rich Mavoko.
Akizungumza ofisini kwake leo Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza amesema kuwa pande hizo mbili hazina mgogoro wowote na lengo la Baraza ni kumaliza tofauti zilizopo.
"Wasafi hawana mgogoro wowote na Rich Mavoko, kwa hiyo lengo la baraza nikukutanisha pande hizo," amesema
RNGM blog

No comments