Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

OSPINA AJIUNGA NAPOLI KWA MKOPO

Kipa wa Kimataifa wa Columbia David Ospina amejiunga na Napoli Baada ya kutokuwa uhakika wa kupewa nafasi ya kucheza katika kikosi cha...

Ospina has dropped down the pecking order at Arsenal. AFP


Kipa wa Kimataifa wa Columbia David Ospina amejiunga na Napoli Baada ya kutokuwa uhakika wa kupewa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza

Napoli inayoshiriki Serie A na Uefa champion league imemsajili kwa mkopo wa msimu mzima hivyo mpaka pale ligi zitakapomalizika hata hivyo Arsenal imemtakia kila heri katika maisha mapya katika timu ya Napoli


No comments