Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

SAMATA AONDOKA NA MPIRA UWANJANI

Mshambuliaji hatari wa KRC Genk, Mbwana Ally Samatta amefunga mabao matatu wakati timu yake ikiitwanga Brondby IF kwa mabao 5-2. Me...




Mshambuliaji hatari wa KRC Genk, Mbwana Ally Samatta amefunga mabao matatu wakati timu yake ikiitwanga Brondby IF kwa mabao 5-2.

Mechi hiyo ya Play Off ya michuano ya Europa League ilimalizika kwa wenyeji Genk kushinda kwa mabao hayo 5-2 huku Samatta akiondoka na mpira wake.

Samatta ambaye ni nahodha wa Taifa Stars, alianza kutikiza nyavu katika dakika ya dakika ya 37 kabla ya Trossard kuongeza la pili dakika ya 45 lililodumu hadi mapumziko.

Dakika ya 55 na 70, Samatta alitupia mabao mengine mawili kabla ya Trossard kumaliza kazi katika dakika ya 90.


Mabao mengine mawili ya Genk yalifungwa na Leandro Trossard, moja akipachika kwa mkwaju wa penalti

No comments