Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Hii ni habari ya Mbaya Kwa Mashabiki wa Man city Msimu huu wa Epl

  Kiungo wa klabu ya Manchester City, Kelvin De Bryune, amepata majeraha ya goti leo wakati anafanya mazoezi na timu yake kujiandaa na mch...

 Kiungo wa klabu ya Manchester City, Kelvin De Bryune, amepata majeraha ya goti leo wakati anafanya mazoezi na timu yake kujiandaa na mchezo wa ligi kuu week end ijayo. De Bryune, atakaa nje miezi miwili kuuguza majeraha yake ya goti.
Kevin De Bruyne atazikosa mechi zifuatazo
Huddersfield Town (h)
Wolves (a)
Newcastle Utd (h)
Fulham (h)
Cardiff City (a)
Brighton (h)
Liverpool (a)
Burnley (h)

No comments