Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Afrika Kusini, Nasty C amekutanja na msanii wa muziki huo kutokea Marekani, 50 Cent. Nasty C...
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Afrika Kusini, Nasty C amekutanja na msanii wa muziki huo kutokea Marekani, 50 Cent.
Nasty C ambaye kwa sasa yupo Marekani, ameshare picha akiwa na 50 kwenye mazungumzo ambapo haijafahamika ni nini wanapanga kufanya. Kupitia Intagram ameandika;
Kwa sasa wasanii wengi wa Afrika wamekuwa wakikutana na wasanii wa Marekani mara kadhaa, hivi karibuni Wizkid wa Nigeria alikutana na Diddy kwa ajili ya kuandaa Album yake ya nne.
RNGM blog


No comments