Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

"Morata anahitaji kupata ujasiri '

Maurizio Sarri amesema kuwa Alvaro Morata anakabiliana na masuala ya ujasiri baada ya kufunga mara tatu tu mwaka huu Sarri anaamini kwa...

Alvaro Morata could be struggling with his confidence according to Sarri. EFE

Maurizio Sarri amesema kuwa Alvaro Morata anakabiliana na masuala ya ujasiri baada ya kufunga mara tatu tu mwaka huu

Sarri anaamini kwamba Morata anaweza kurudi katika hali yake ya kufunga mabao anahitaji ujasiri na kufunga mabao

Sarri ambaye wikiendi hii atakabiliana na Arsenal mchezo ambao utapigwa katika dimba la
Stamford Bridge

Akizungumza katika mkutano na waandishi habari amesema Morata ni mcheza mzuri anahitaji muda na ujasiri kurudi katika upachikaji mabao ambao ni kazi ya kila mshambuliaji akiwa uwanjani

kuhusu Arsenal Sarri anaamini ni timu zuri yenye kocha ambaye amechukua europa league akiwa na sevilla misimu mitatu mfululizo anadhani arsenal ni wapinzani wazuri katika kuwania nafsi nne bora za juu katika ligi ya epl

mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho mnamo majira ya saa 1.30 usiku

No comments