Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

MECHI NNE KUPIGWA LEO

Barani Africa leo nyasi za viwanja vinne zitawaka moto katika michezo ya hatua ya makundi ya klabu bingwa. Vinara wa kundi A Espérance Spo...



Barani Africa leo nyasi za viwanja vinne zitawaka moto katika michezo ya hatua ya makundi ya klabu bingwa.

Vinara wa kundi A Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia watakuwa wenyeji wa Al Ahly kutoka nchi Misri

Katika kundi B, Entente Sportive de SĂ©tif ya Algeria watakuwa katika dimbani kuwakabili TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambazo tayari zimejihakishia kusonga mbele wakiwa na alama 10 mkononi.

Horoya Athlétique Club, ya Guinea watacheza na Togo-Port inayoburuza mkia katika kundi C

Wamoroco wa Wydad Casablanca ukipenda waite Wydad of Nation wanaongoza kundi kwa alama 8 watawakaribisha The Brazilians, Masandawana. Mamelodi Sundowns kutoka Africa kusini iliyo nafasi ya pili kwa alama 5.

No comments