Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Gigy Money kwenye Hili tena na DJ wa Diamond, Romy Jons

Aliyekuwa video vixen ila kwa sasa muimbaji wa Bongo Fleva, Gigy Money ni miongoni mwa wasanii watakaosikika katika wimbo mpya wa DJ ...

Gigy Money kwenye Hili tena na DJ wa Diamond, Romy Jons

Aliyekuwa video vixen ila kwa sasa muimbaji wa Bongo Fleva, Gigy Money ni miongoni mwa wasanii watakaosikika katika wimbo mpya wa DJ wa Diamond Platnumz, Romy Jons.

Gigy Money ameingiza verse yake ndani ya studio za Suprise Music chini ya producer Rash Doni, wimbo huo mpya ambao bado haujafahamika jina lake tayari Country Boy ameshaingiza verse yake pia.


Bila shaka wimbo huo utakuwa wa pili kutoka kwa Romy Jones mara baada ya ule Bora Iwe aliyofanya na Barakah The Prince.

Mwezi Mei mwaka huu Romy Jons/Rj The Dj  alifanya mahojiano na BBC Swahili ambapo alieleza kuwa ana mipango ya kuachia albamu na Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii watakaokuwepo



No comments